kazi ya duka

kazi ya duka

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
369
habari wana jamvi,natafuta kijana wa kuuza duka langu la rejareja,umri chini ya miaka 25,mshahara sh 50,000,chakula na nauli juu yangu.
 
Naomba hiyo nafasi mm umri wangu miaka 31

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
naona wewe una hamu ya kumuita mtu mwizi au kujionesha mbele ya watu kwamba wewe naye umeibiwa....wewe unawezeakuidhi kwa hicho kisai kidogo cha pesa????? au mkuki mtamu kwa nguruwe??
 
50,000 Tsh kwa mwezi /wiki /kwa siku? dah kama ni kwa mwezi ndio najua kwa nini kuna vijana wanazamia nchi za ulaya kusingizia wanatoka congo na kukana utanzania. Dah haya bwana, kila la kheri hope utampata tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom