Kazi ya duka la dawa muhimu

Kazi ya duka la dawa muhimu

florixhac

New Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Habar zenu wanajamv, kama kichwa cha habar kinavyojieleza. Nataka mtu wa kutoa dawa , duka lipo kigambon Dar es salaam, sehemu inayoitwa TUNDWI SONGANI

Duka ni jipya, hivyo ukija ni kama tunaanza.

Sifa: Uwe umesomea utoaji wa dawa
Mwaminifu
Mchamungu
Umri kuanzia 20 na kuendelea.


Kwa mawasiliano zaid, wasiliana na namba zifuatazo, 0657911852
0625479199
 
Back
Top Bottom