mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Wana board
Mhe. Dr Slaa awamu zilizotangulia alifanya kazi Kubwa bungeni na hata nje ya bunge akiwa Katibu mkuu alifanya kazi Kubwa sana hajapata kutokea.
Aliweza kutingisha viongozi wa umma na hata Serikali na hata jamii kuwa ya kuamini ktk falsafa alizotumia.
Mwisho wa awamu ya NNE aliamua kubwaga majanga kwenye siasa ktk safari ya kuelekea uchaguzi mkuu wa kuweka awamu ya tano.
Je kwa CV yake na mambo aliyofanya katika awamu hii ya tano Mhe Rais anapowaza kuwateua watanzania wakuongoza naye awamu hii hasa wasio kuwa na vyama Dr Slaa akiwa mmoja wao unapendekeza amfikirie kwa nafasi gani katika utumishi wa Umma katika mihili yote mitatu?
Si ajabu kiongozi wa nchi kumchagua mtanzania aliye kuwa ccm akaenda upinzani na akaacha siasa au akarudi chama cha awali au kuacha siasa vya vyama.. Mfano wako wengi Dr Mrema anamsaidia Mhe Rais kwenye wafungwa
Je Dr Slaa apewe kazi gani? Katika awamu hii, ambapo atatoa mchango mkubwa ktk safari ya kuiendeleza nchi yetu.
Tutoe maoni ili siku Mhe. Rais akimkumbuka ktk ufalme awe amepata mapendekezo yetu au washauri wa Mhe. Rais au wanaofanya vating?