Kazi ya Computer Aided Drafting(CAD) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ya Computer Aided Drafting(CAD)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by javascript, Apr 11, 2012.

 1. javascript

  javascript Senior Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wadau natafuta kazi ya kuchora kwa kutumia computer kwenye kampuni yeyote inayofanya kazi za Architecture,
  Nina uwezo wa kutumia software zifuatazo;
  AutoCAD, Archicad, Revit Architecture

  kwa ajili ya photo rendering ninatumia;
  Artlantis Studio, 3ds max - vray na photoshop kwenye final picture

  0784767312 kwa mawasiliano.
   
Loading...