hata kama hujapata kazi ingine mkuu?
Hata kama hujapata kaz...we jaribu uone
hata kama hujapata kazi ingine mkuu?
Habari zenu wakuu.
Hivi utaratibu wa kupeleka CV kwenye hizo ofisi upoje?
Unaambatanisha na Cover Letter au ni kopi ya CV pekee?
Pia naomba kutambua zilipo hizo ofisi kwa hapa Dar.
Natanguliza shukrani.