Kazi ya afisa biashara

Kazi ya afisa biashara

NARE

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
36
Reaction score
6
Wakuu naomba kujua majukumu ya afisa biashara,vp ni kazi inalipa maana kuna jamaa ameniambia siku hz ni kama hawana kazi za kufanya maafisa biashara na maafisa ushirika walioko halmashauri niamben jaman
 
Sikweli kijana, kazi zipo
 
Back
Top Bottom