Ndugu zangu maisha yamekuwa magumu nataman hata kama ntapata kaz ya daladala me nafanya jamani . Humu jf kuna watu wana biashara ee jaman 2kumbukane bac hata kam salary 50000 . Niko dar jaman kurudi siwezi eeeh Mungu baba unikumbuke leo nimeandika barua nying cjajibiwa hata 1 bac naombeni kazi jamani nateseka kwelkweli nasema kutoka moyoni
pole sana brother Elerai ndo maisha haya ya vijana wengi si wewe peke yako,ila nakuombea kila la kheri Mungu akujaalie upate angalao kazi yeyote ambayo unaweza kujikimu. najua umetokea arusha, huwezi jua bahati yako kwa Mungu siku ikitokea basi utajulishwa, natamani kumsaidia kila kijana lakini uwezo huo sina jamani, nina uchungu sana na maisha, najua hali mtu anayojisikia kwa kutokua na kazi na maisha ni magumu sana, mtu anahitaj hata kununua kijiko sahani lakini ataviweka wapi wakati hata chumba hana? inauma sana, dukani kwangu nina vijana wawili labda kama utakua seriouse kweli na unachosema naweza hata kuongea na mabest nichek amelinechao@gmail.com