Kazi - waalimu 137 wa vyuo vya Afya

Hapo kazi ipo sie tulikua tunahitaji tutors 80 tukishirikiana na wizara ya afya kwa ajili ya vyuo vya afya hapa nchini hadi kufikia deadline tulipata application letter 70 tu. Hii sekta ya Afya kwa kweli ina matatizo upande wa Human Resource. Kuna Vyuo vya Afya ambavyo vinaandaa wataalamu wa kada mbalimbali kama Manesi, maafisa tabibu na wataalam wa maabara katika ngazi za cheti na stashahada
 
Back
Top Bottom