Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Heshima mbele wakuu naambiwa kuwa TAKUKURU wame tangaza kazi kwenye daily news la leo mwenye taarifa tafadhali.
Wengine huku tuliko gazeti la leo tunasoma baada ya siku mbili.
@Lyandembele 1
Heshima mbele wakuu naambiwa kuwa TAKUKURU wame tangaza kazi kwenye daily news la leo mwenye taarifa tafadhali.
Wengine huku tuliko gazeti la leo tunasoma baada ya siku mbili.
@Lyandembele 1
Hapo sasa tatizo vigezo vingi mno sijui kwa nini jamaniDah! Cheti cha la saba hv huwa vnatolewaga now dayz?
5.0 MODE OF APPLICATION
The Director General,Prevention and Combating of Corruption Bureau,P.O. Box 4865,DAR ES SALAAM."HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE"
- Interested candidates should send their applications enclosing their current CV's, copies of relevant Academic Certificates, having reliable Physical address, Postal address, email, telephone numbers, certified photocopies of Birth certificates and recent passport size photograph.
- Applicants must submit three names of reliable referees
- Indicate in an envelope clearly a post you are applying for marked as "Application for the post of ..….." (Insert post) and send your application letter to the following address;
Wadau hapo kwenye blue tafadhali maelekezo kidogo. Panahitaji tufanyaje, ili wasije tunyima hizo kazi. Vyeti tumekidhi vigezo ndg zanguni. The Boss King'asti, BINAMU YAKO
Hapo sasa tatizo vigezo vingi mno sijui kwa nini jamani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Dah! Cheti cha la saba hv huwa vnatolewaga now dayz?
Hapa naona wanataka graduates wa 2012 ambao sio public servants had sasa!!! cuz kwa sisi wa 2013 hata Transcrpt bado hazijatoka.Direct Entrants (From Colleges/Universities)
Hapa naona wanataka graduates wa 2012 ambao sio public servants had sasa!!! cuz kwa sisi wa 2013 hata Transcrpt bado hazijatoka.
Dah! Cheti cha la saba hv huwa vnatolewaga now dayz?
Nilimalizaa la saba 2002, leo nitakuta kweli cheti changu cha darasa la saba ??