prissydada
Member
- Oct 19, 2013
- 5
- 0
Kwan uulizaji upoje nieleweshe siku nyingine nijtahid kuwa sawa
Unaweza kuuliza kama ifuatavo, STAMICO walitangaza nafasi za kazi za kada mbalimbali nimesahau deadline maana nilitumiwa vacancy husika na mtu nae anasema pia aliipata kutoka kwa mtu mwingine, tafadhari mwenye kujua deadline anijuze nisibweteke kumbe watu walishamaliza zamani kuaply
Deadline~mwisho.