Kazi: RTI international

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Salaam wadau!Kuna kazi imetangazwa na hawa jamaa wa RTI international kupitia daily news ya 31st May, 2012 according to zoomtanzania.com, bt kwenye tangazo lilowekwa zoom hawajaweka email adress......kama kuna mtu alipata access ya hilo gazeti gazeti, atusaidie details zake hiyo kazi!
 
jaman RTI Internation ofsi zao zipo Aman Building kule opposite na royar palm nadhan 5th fl
 
kama upo mwanza, pita barabara ya kenyatta rd jengo la zamnzibar insuarence 1st flr utapata info zaidi
 
RTI.jpg




RTI 2.jpg
 
jah=God???????..IDK...
some call it God, others Goddes, there are those who uses the name Jah or Jehovah, what i mean is that...we are all speaking of the same thng, the supernatural power,the superblessing power,the supercreative power..the super[name-it] power
 
Sitaacha Jamii Forums forever, napata kila kitu nachokitaka yaani in short huku kuna kila skills bwana. Thanks Biohazard, you are one in a millions
 
Folks, kuna mtu anajua location ya hizi nafasi hapa juu (yaani ni DSM, Kigoma, Mwanza au ?) Pia kama kuna namba naweza kupiga kuulizia details zaidi. natanguliza shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom