MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Ya mama Samia na Gavana yameishia wapi?Anasema Membe ndiye mgombea urais kupitia CCM 2020
Ya mama Samia na Gavana yameishia wapi?Anasema Membe ndiye mgombea urais kupitia CCM 2020
Hauko mbali sana na Ukweli Rafiki.
Mama amekula vichwa vingi ,ebu dadavua ni nani huyo?Na ubabe wote ule hatimae nae jana jioni kaliwa kichwa na mama 😂😂😂
Background information ya uzi imejieleza bwana James.Mama amekula vichwa vingi ,ebu dadavua ni nani huyo?
Na ubabe wote ule hatimae nae jana jioni kaliwa kichwa na mama 😂😂😂
yule bingwa wa kutype makosa ila tunaishi nae hivyohivyo 😄Mwambie na kigogo2014, asikosee kutype kama juzi
mitano tena?!Watanzania wanapenda habari za umbea no wonder utawashika Wengi
All in all maisha ni yale yale nothing will change
E N ni Emmanuel NchimbiDuh hii episode ya pili ya code bado ni bilabila kweli huu ujumbe umelenga kundi fulani sio wapenzi wasomaji wote.
Yaani hata maombolezo hayajaisha umeweka picha ya rais mpya, umeondoa ya mwendazake?!! Kizazi cha HK mmelaaniwa kwa dhambi ya usaliti!!Yule kigogo anajua kila kitu na aminiwa sana na wana harakati na Bavicha-..... yani yeye ndio kachukua nafasi ya Da Mange.....hahahaha
Wee mchokoziìiiiiiE N ni Emmanuel Nchimbi
Tupe taarifa sawa sawa mkuuHatimae kaliwa kichwa rasmi
Tupe hata kwa code basi tunaweza kuelewaHatimae kaliwa kichwa rasmi.