Kazi NMB bank

Kazi NMB bank

Nenda kwenye tawi lao lolote lililo karibu nawe uwaulize ili wakupe utaratibu sie huku JF wataishia kukuchambua tu
 
Ingia Kwenye Web. Jisajili.. Utaweka na CV pamoja na vyeti. Utaona kazi zilizopo baada ya ku sign up then unaaplay mojakwamoja...

Ethos - the job hunter
 
Unataka kufanya kazi NMB au unatafuta kazi kama ni kufanya kazi nmb tu wana account yao hapa jf unaweza ukawa PM wakakupa maelekezo
 
hivi hawa nao siku hizi wamekuwa crdbd na uchagalism? au postabank na uayalism plus uiringalism? maana unaomba kazi mpaka unatamani uwaombe wakupe wadada wote wanaofanya kazi pale uwage,geeeeeeeeee!
 
hivi hawa nao siku hizi wamekuwa crdbd na uchagalism? au postabank na uayalism plus uiringalism? maana unaomba kazi mpaka unatamani uwaombe wakupe wadada wote wanaofanya kazi pale uwage,geeeeeeeeee!
Mtaani kunanyoosha watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom