Kazi Nje Ya Nchi

Mm hapa nipo huku sasahiv Omani kwa kifupi wa siku bali kuja huku bila mikataba wali yoisoma kwa macho yao na kujiridhissha kwamba inataa Kwakwell waarabu wana roho mbaya ni hatariiii usiombe na wakija waende ubalozini ili ubalozi ujue
 
before candidate yoyote hajaondoka,anapewa mkataba,anausoma,auelewe,then ndipo atakaporuhusiwa kuusign
 
Uarabuni sio sehemu salama
Tanzania ndio salama sana ndio maana tunaona watu waliouliwa wanavuliwa coco beach.Tindu Lissu kapigwa risasa na Nape anatishiwa ma bastola mchana kweupeee
 
Huyu jamaa mwenye miwani na T-Shirt ni kama Morgan, alikuwa anafanya kazi Royal Palm kipindi kile, kabla ya yule mgiriki kuiuza hoteli na kwenda zake uarabuni.

Kama ni yeye na yupo happy, good for him, au labda wamefanana.
 
We salve our people Right here in Tanzania.Case in point
"House boys and girls" They are more than slave.Double
Mmmh japo naelewa kwa mbali kingereza. Hapa sijaambulia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…