CMIL OVERSEA JOB
Member
- Oct 4, 2017
- 26
- 11
ni kweli,ila wengi wanaokwenda kwa njia za panya ndio wanaolalamika. Kupitia kampuni yetu,watu wanapata kibali kutoka TaESA na wanapokelewa vizuri na kampuni husika katika nchi tajwaMmmh hizo nchi ulizotaja kila siku zinalalamikiwa
anhaa kwa hiyo wakiwepo kule usalama uponi kweli,ila wengi wanaokwenda kwa njia za panya ndio wanaolalamika. Kupitia kampuni yetu,watu wanapata kibali kutoka TaESA na wanapokelewa vizuri na kampuni husika katika nchi tajwa
usalama upo,kwa sababu hawa sio wa kwanza sisi kuwapeleleka,wanaenda and after 2 years of contract wanarudi,wanaaaply tena wanaenda[emoji4]anhaa kwa hiyo wakiwepo kule usalama upo
anhaa hapo sawa mkuuusalama upo,kwa sababu hawa sio wa kwanza sisi kuwapeleleka,wanaenda and after 2 years of contract wanarudi,wanaaaply tena wanaenda[emoji4]
this is genuine deal brother, that's why kabla candidate hajaondoka lazima awe amapata kibali kutoka wakala wa serikali wa ajira (TaESA)please please please mtoa mada hii make sure hii ni deal clean,maana inauma mno unapoona watanzania wenzako ambao wamerubuniwa na kupelekwa ughaibuni kwa ahadi ya kufanya kazi na hatima yake wanaishia kuwa watumwa au kuwekwa kwenye brothels inauma mno,human trafficking its a big issue ila waziri wangu wa mambo ya ndani na waziri wa wanawake wako so busy na kukimbizana na wapinzani wao wa kisiasa wakti raia wao wanarubuniwa na kuishia kuwa watumwa .please mtoa mada jifikirie kama ni dada yako anapelekwa pale Maputo kwa ahadi ya kazi na anaishia kwenye madanguro,ninategemea hii ni clean deal and above the board.
Karibu ofisini mkuuWe still love our black queens and kings sorry hebu toa maelezo ya uhakika isije kuwa Skin Trade.
Oksiku mkitangaza kuwapeleka watu Ulaya na Marekani mnijuze lakini Uarabuni bado sana.
ni salama ukienda kihalali,papers matterUarabuni sio sehemu salama