Kazi na Bata ( Work and Live ) — what do we mean?

no body will understand and comprehend the message except the geneous...
 
Ni sawa na kumcheka triump akikosea kifaransa..!
 
Nashauri mleta mada aandike kwa kiswahili.
 
Kazi + Bata = Ufisadi
Hapa + Kazi = Maendeleo
 
Muheshimiwa kwa lugha uliyotumia hujawatendea haki kabisa watanzania waliowengi ambao lugha ya kiingereza inawasumbua.

Kama lengo lilikuwa ni kufafanua dhana ya kazi na bata kwa watanzania wote kulikuwa hakuna haja ya wewe kutumia lugha ya kigeni, ila kama una malengo tofauti halo sawa.

ACT ni chama cha Wazalendo na wazalendo wengi wamenyimwa elimu bora na mifumo ya kandamizi ya kiccm iweje wewe leo uwaandikie kwa kiingereza?

Hivi ni kweli ufafanuzi wako unawahusu watanzania wengi ambao inapaswa waielewe dhana ya kazi na bata ili waisapoti au umelenga watu wengine?

Wanasiasa wa kiafrika ni watu wa ajabu sana.
 
Zitto, some questions:
1) Freedom for whom?
2) What kind of development?
3) #kazi na bata, kwa kiwango gani cha kazi ili upate kipato cha kula bata?
 
Unaandika kiingeleza halafu unataka ujumbe tuupate waswahili,

Zitto acha usanii basi.
so we have people in jamii forum who can not understand English. subiri wachangiaji sasa
 
I have bread, I need roses

Bread and Roses
2020 CCM twende na Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…