Kazi mtwara

Kazi mtwara

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,887
Reaction score
15,291

zingatia;

ni haraka sana,kama upo mtwara na una certificate ya account ni-pm namba zako kuna kazi ipo manispaa ya mtwara mjini,
anahitajika karani wa mahesabu katika asasi moja isiyo ya kiserikali.

Zingatia;certificate of accounting,siyo diploma,siyo bachelor.,na sio technician certificate.
 
Duh!
Certifacate Inatoa eeh....
Haya banah!
 
mdau mie ninafit na certificate toka TIA namba zangu ni 0712162034 nasubiria phone call
 
NIPO bandari salama @JF mie naona mdau ndio zile zile tu za KUJIAJIRI KUPITIA WATU WANAOTAFUTA AJIRA
 
hakuna kazi hapa!

sasa tuwasaidie vipi ndugu zetu??


mnadharau kila kitu kitu,sio wote ni matapeli,sometimes u have to fight for your destiny by yourself,,

ok,kama umedhani ni utani au utapeli alieona umuhimu wa hiyo kitu kanufaika nayo
 
shida inakua kwanini hawahitaji hiyo added value ya certificate? kama diploma au degree? au ndo masuala ya scheme zenu? mna hela ya kumtosha mtu wa certificate? vijana kama mko seriouse changamkieni bahati zenu hizo jamani msilale.
 
shida inakua kwanini hawahitaji hiyo added value ya certificate? Kama diploma au degree? Au ndo masuala ya scheme zenu? Mna hela ya kumtosha mtu wa certificate? Vijana kama mko seriouse changamkieni bahati zenu hizo jamani msilale.

tushachek na huyo alieweka namba yake hapo tayari,
first to come,first to be awarded
 
mdau mie ninafit na certificate toka TIA namba zangu ni 0712162034 nasubiria phone call
mkuu umepata hiyo ajira Jitualiahidi kufa ukipata hiyo ajira
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom