Challenges ni kwamba kama sehemu unayofanya kazi unaona hakuna jipya unalojifunza yaani kila kitu ni routine lazima utafute sehemu ambayo unaweza kujifunza vitu vipya ili kukua katika career yako na greener pasture ni kwamba kama umepata sehemu ambayo inalipa zaidi ya hapo ulipo then unaweza ukashwawishika kuondoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.