KAZI (medical technician)

KAZI (medical technician)

colony

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
361
Reaction score
494
Habarin wana jamvi.

Ni kijana niliyehitimu chuo na nina stashahada ya utaalamu wa maabara hospitalin (medical technician).

Kwa yeyote mwenye maabara or hospital iliyo na upungufu wa wataalam wa maabara tunaweza kuwasiliana.

Nina uzoefu Mkubwa kwan nimeshafanya mazoez kwenye hospital kubwa kama KCMC, Amana referral hospital &Ocean road cancer institute etc

Napatikana dar es salaam, banana near aviation.
Contact info 0621064771
 
labaratory technician,hii medical technician kwani unaweza kurepair xray machine,ultrasound,vitanda etc?
 
Ni medical lab technician mkuu kuna neno limesahaulika apo
 
Back
Top Bottom