Kazi kwenu

Kazi kwenu

malinda JP

New Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Kujadili mambo yanayohusu nchi si kwamba unajiingiza kwenye siasa, bali ni kujalibu namna ya kuinusuru nchi na lolote baya au kuendeleza jambo jema. Wana jf fungukeni na tokeni katika chupa hiyo nchi hii inahitaji mchango wenu ili iweze kuendelea. Kazi kwenu!
 
Ingia pole pole, la sivyo hapa kuna watu wenye akili kuliko za Mwl. Nyerere na wana mawazo mazuri, na nchi imekaa kwenye viganja vya mikono yao. Ikija haraka lwako, mi sipo.
 
Back
Top Bottom