Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,720 Reaction score 128,423 Mar 8, 2015 #2 Na kweli! Sasa sijui nia yake nini mana hata akiiweka humo bado ladha ni ile ile.
MR MAJANGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 3,526 Reaction score 10,820 Mar 8, 2015 #4 Lengo lake hata akiwa ndani ya daladala watu watafikiri anakunywa juice kumbe Ni pombe
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,416 Reaction score 9,309 Mar 8, 2015 #5 Unywaji wa hivyo ni mateso tu.
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Mar 8, 2015 #6 Anampelekea mgonjwa wake Wodini. Mgonjwa ameambiwa asitumie pombe na dawa. Si wajua tena gear za Dr? Tutakunywa sana kwani ni muhimu Dawa kumeswa na maji mengine pia.
Anampelekea mgonjwa wake Wodini. Mgonjwa ameambiwa asitumie pombe na dawa. Si wajua tena gear za Dr? Tutakunywa sana kwani ni muhimu Dawa kumeswa na maji mengine pia.
E enhance JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 449 Reaction score 176 Mar 8, 2015 #7 kaogopa kutoka na chupa za watu kaona aweke kwenye box takeaway sherehe imekwisha!
sonnita JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,787 Reaction score 1,920 Mar 8, 2015 #8 enhance said: kaogopa kutoka na chupa za watu kaona aweke kwenye box takeaway sherehe imekwisha! Click to expand... Ahhahahhha.yu nailed t.
enhance said: kaogopa kutoka na chupa za watu kaona aweke kwenye box takeaway sherehe imekwisha! Click to expand... Ahhahahhha.yu nailed t.
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,450 Reaction score 2,683 Mar 8, 2015 #9 emmyta said: Na kweli! Sasa sijui nia yake nini mana hata akiiweka humo bado ladha ni ile ile. Click to expand... emmtya hujamsoma huyo jamaa.nia yake nikujificha kwamba anakunywa ceres kumbe gambe..
emmyta said: Na kweli! Sasa sijui nia yake nini mana hata akiiweka humo bado ladha ni ile ile. Click to expand... emmtya hujamsoma huyo jamaa.nia yake nikujificha kwamba anakunywa ceres kumbe gambe..
leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,651 Reaction score 2,240 Mar 8, 2015 #10 Hakuna Starehe hapo. Ujinga mtupu.