Kazi kweli viongozi wetu wa Dini

Kazi kweli viongozi wetu wa Dini

wapi hii Mzizimkamvu?

Nje ya ufukwe wa kanisa la mtakatifu PAULO huko Lagos Nigeria.
Inavyosemekana huyo Mchungaji ni mmoja wa viongozi wakubwa sana wa Kanisa anaeaminika na WAKRISTO wengi hapo Nigeria.

Na Anasamehe madhambi kila siku.
Hata wewe ukiwa unahitaji mume wa haraka nenda tu kavue hio kabati yako uiname upigwe busu la makalio.

Cc picchu
 
Last edited by a moderator:
Kazi kwelikweli wanawake wetu wanaowaamini viongozi wa dini vichaa.Walishindwa nini kumwambia huyo pastor aishiye zake Mungu pekee ndiye mleta waume?
 
yaani pamoja na maburungutu hayo hao mashori hawajaolewa? dah
 
Haya yote yalishatabiriwa Manabii wa Uongo wapo kila kona na mtawatambua kwa matunda yao.
 
10986841_388566381321030_1298248506796438031_n.jpg

Ingekuwa hivi hata MshanaJr angetaka kuwa Pastor
 
Bwana Mapesa u pastor wa namna hii ni majanga hata shetani mwenyewe hapo hasogei

Hapo wagalatia ni kujambiana tu kwenda mbele.

Teh teh teh teh!.

Afadhali sisi tusio wagalatia ushenzi huu tunauona kwa wagalatia tu.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee huyu Pastor haitaji msaidizi?,mkuu Mzizimkavu ebu fuatia harafu unijuze niende nikamsadie...
 
Hapo wagalatia ni kujambiana tu kwenda mbele.

Teh teh teh teh!.

Afadhali sisi tusio wagalatia ushenzi huu tunauona kwa wagalatia tu.

ni bora wewe sio mgalatia maana ungeshindwa maana wewe kwa waganga ni sawa na uji na mgonjwa, hahaaaa kazi kwelikweli. Hakuna aliye kamili, na wala hakuna aliye muona Mungu
 
ni bora wewe sio mgalatia maana ungeshindwa maana wewe kwa waganga ni sawa na uji na mgonjwa, hahaaaa kazi kwelikweli. Hakuna aliye kamili, na wala hakuna aliye muona Mungu

Teh teh teh !
Ndugu muefeso, ugalatia ni balaa kuu duniani.
Ebola, kaswende, utapiamakalio na maradhi yote ya zinaa chanzo chake ni huko huko ugalatiani.
 
Amma kweli fahari ya macho haifilisi duka na tunaisubiri hapa bongo nayo ifike hiyo dini mpya na ufukwee wa bahari pia tunao
 
Back
Top Bottom