Kazi kweli ipo huko Palestina

Israel hata tuende dunia nzima hatuigusi

Waambie kaka hwajui Israel nini. Hata hivyo wamewachokoza wenyewe kuwachinja wale vijana watatu wa Israel palikuwa kimya sasa ngoja moto uwawakie hata siwahurumii wameyataka wenyewe wapigwe tu
 
Kumbe hadi Tz kuna waislael?o shobo2,kama haujui kinachoendelea uliza kk....ukifatisha hz media propaganda2 huwezi pata ukweli wa mambp,so b careful kama vp bora unyamaze2!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
# Membe will also send his jwtzed against israel because palestinians are our brothers and sisters.
 
Kumbe hadi Tz kuna waislael?o shobo2,kama haujui kinachoendelea uliza kk....ukifatisha hz media propaganda2 huwezi pata ukweli wa mambp,so b careful kama vp bora unyamaze2!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nisaidie kujua wewe unayejua ni source gani inayokupa habari out of these media unazoziponda ili nami nijue ukweli ulio nao wewe au mwenzangu unaishi gaza stripe, au una nduguyo pale Tel Aviv ndiyo maana una taarifa sahihi naomba mwongozo
 
Duh.hii vita.isije tuletea vita ya tatu duniani
 
Wandugu, hebu jaribuni 'kuwashauri' hao 'wenzenu' wa Hamas wasianzishe vita.

Maana, wanaanzisha vita, halafu wanaanza kulia-lia kwenye vyombo vya habari kwa kuweka picha.

Wahenga walisema, " Msiba wa kijitakia, hauna kilio".
 
Hizo nchi zinaenda kusaidia waislam au watoto,wanawake nk wa kipalestina?
 
Kumbe hadi Tz kuna waislael?o shobo2,kama haujui kinachoendelea uliza kk....ukifatisha hz media propaganda2 huwezi pata ukweli wa mambp,so b careful kama vp bora unyamaze2!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Ukofuatisha media huwezi pata ukweli wa mambo.......m/mungu atupe vipawa vya kuota km nyerere sio?Mtu haitaji kuchunguza uwezo wako
 
Haya mambo tuyaonege tu kwenye mtandao na kuyasikia tuuu kama hadithi... Tumuombe Mungu sana yasitokee kwetu!
 
Wandugu, hebu jaribuni 'kuwashauri' hao 'wenzenu' wa Hamas wasianzishe vita.

Maana, wanaanzisha vita, halafu wanaanza kulia-lia kwenye vyombo vya habari kwa kuweka picha.

Wahenga walisema, " Msiba wa kijitakia, hauna kilio".

Wewe ni ngombe wa kimasai usie kuwa na akili, vita imeanzishwa na babako au? Vita wamaanzisha israel wakati wewe bado ni shahawa kwenye p.umbu ya babako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…