Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
Kwa hiyo Wizara ya Afya ina uwezo wa kuzuia au kumaliza hilo tatizo la maradhi ya Mbu lakini hawalitekelezi?Tatizo sio mbu tatizo ni wizara ya afya suala la kinga na udhibiti wa malaria upo kisiasa zaidi..kusema ukweli idara ya kinga inapumulia mashine...hivyo hivyo haya magonjwa yakuambukizwa kama malaria, denge n.k yataendelea kuitesa hii nchi milele zote...