real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Habari vijana!
Poleni kwa wale mliomaliza chuo halafu mmehudhuria kwenye interview kadhaa za mbali na hamkufanikiwa, nilitafakari kuhusu hili jambo na sasa nina mtazamo wangu nataka kutoa kwenye tangazo la kazi likitoka kwenye kampuni fulani ambayo ina jina kubwa application zinakua nyingi kama wastani wa 5,000 hivi (kama nimekosea naomba nisahihishwe) sasa hapa wanakuja kuchuja kwenye wanabaki kama 2000 hivi alafu wanaitwa kwenye interview kwa hiyo probability ya wewe mmoja kuitwa kwenye interview ni 2000/5000=0.4
Baada ya hapo hawa 2000 wanachujwa wanabaki labda 200 kwa hiyo probability ya wewe kupita kwenye hiyo round ni 200/2000=0.1 then hawa 200 wanapunguzwa hadi 20
hapa probability ya wewe kupita ni 20/200=0.1hawa 20 sasa ndio watapatikana labda 2 ambao ndio wataajiriwa kwa hiyo probability ya wewe kuajiriwa ukifika hapa itakua ni 2/20=0.1
Ukipiga overall probability ya wewe kupata ajira tangia umeanza ku apply ni 0.1x0.1x0.1x0.1x0.4=0.00004 (hapa ni baada ya kufanya assumption kadhaa)hapa ukipiga hesabu ya nauli ya kwenda na kurudi, chakula na malazi pengine, kwa round zote 4 pamoja na gharama za kutuma application utapata hivi 70,000x4=280,000 application=10,000 miscellaneous=10,000 kwa hiyo jumla ya gharama ni 300,000 more or less na chance ya kupata kazi ni 0.00004 more or less uki compare gharama ulizotumia na odds of success utaona ni bora uka bet mechi za bundesliga, la liga na epl una chance kubwa zaidi ya kutoka kimaisha kuliko kazi za siku hizi.