Kazi kwa waliomaliza nursing

Kazi kwa waliomaliza nursing

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
Wanajukwaa napenda kuuliza ajira za nursing kama zimeshatoka wizara ya afya na kama bado nifanyeje? Nimemaliza mwaka jana july nina certificate ya fani hiyo niliyosoma mwaka 1.
 
We nenda kasome tu mwaka mmoja utakwenda kufagia tu, mwaka mmoja sio nursing hiyo, wewe ni ward attendant. na kisheria hutoruhusiwa kushika mgonjwa. kwa ushauri wa bure tembelea website ya TNMC, UJUE NURSE NI NANI?
 
wanajukwaa napenda kuuliza ajira za nursing kama zimeshatoka wizara ya afya na kama bado nifanyeje? Nimemaliza mwaka jana july nina certificate ya fani hiyo niliyosoma mwaka 1.

wewe sio nurse, nurse hasomi mwaka mmoja minimum ni miaka miwili certificate ww ni attendant, ina maana hujui hata ulichosoma, then unaulizia kazi, are serious

with regard
mitochondria
 
sio nursing wewe ni ward attendant tembelea website ya TNMC, UJUE NURSE NI NANI?[/QUOTE]
Asante kwa ushaur so upande wa ajira zake serikarini vp ntapata kwel sababu nilituma maombi wizarani na sijapata bado.
 
nurse hasomi mwaka mmoja minimum ni miaka miwili certificate ww ni attendant, ina maana hujui hata ulichosoma, then unaulizia kazi, are serious with regard mitochondria[/QUOTE]
Ok nimekuelewa so mbinu ipi ilinipate ajira
 
Ukitaka kufuata sheria nchi hii uwezi kuishi. Tembelea vituo karibu vyote afya nurses wana_certificate ya 1 year.
 
Haya ni matunda ya " TUNAZUGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES" na ndiyo maana tunavimba makalio kwa kuchomwa sindano pasipo takiwa, wewe kazi unayo mudu kadiri ya cheti chako ni ufagizi wa chumba cha wagonjwa.


Wanajukwaa napenda kuuliza ajira za nursing kama zimeshatoka wizara ya afya na kama bado nifanyeje? Nimemaliza mwaka jana july nina certificate ya fani hiyo niliyosoma mwaka 1.
 
Wanajukwaa napenda kuuliza ajira za nursing kama zimeshatoka wizara ya afya na kama bado nifanyeje? Nimemaliza mwaka jana july nina certificate ya fani hiyo niliyosoma mwaka 1.

We mkali mara lab technlogy mara nursing. Du!
 
Ukitaka kufuata sheria nchi hii uwezi kuishi. Tembelea vituo karibu vyote afya nurses wana_certificate ya 1 year.

Hayo ni maneno ya mtaani, hao unaowaona vituoni wa mwaka mmoja ni ward attendant, na kazi yake ni usafi tu, na sheria zimewekwa ili zivunjwe ila ww ukiwa mfano ni balaa, waulicze KAJALA NA LULU WAKWAMBIE GEREZANI KUKOJE
 
sio nursing wewe ni ward attendant tembelea website ya TNMC, UJUE NURSE NI NANI?
Asante kwa ushaur so upande wa ajira zake serikarini vp ntapata kwel sababu nilituma maombi wizarani na sijapata bado.[/QUOTE]

Ndio mana nakuona wewe ni mtu wa ajabu, na pengine utkuwa una shida kwenye masomo yako ya msingi na secondari kwa maana rahisi ni failure. unatumaje maombi wakati hata kibali cha kuajiri wizara haijapewa. kwa ushauri fuatilia vyombo vya habari pindi kibali kikitoka utaona matangazo.
 
Sio mie muhusika wa nursing ni mtu aliomba niulizie kwenu wadau wa jf,ok nashukuru kwa ushauri wenu nae kausoma byeee!!!
 
sio mie muhusika wa nursing ni mtu aliomba niulizie kwenu wadau wa jf,ok nashukuru kwa ushauri wenu nae kausoma byeee!!!

ok byee msalimie. Mwambie aende shule haraka bado ana safari ndefu ya kitaaluma

with regard
mitochondria
 
Mwambie aende shule haraka bado ana safari ndefu ya kitaaluma with regard mitochondria[/QUOTE] pouwaaaaaa
 
Back
Top Bottom