Juzi niliwaaga wadau nakwenda kula Pasaka na wapiga kura wangu.Nilifika salama na leo kama unavyoona kwenye picha nimeshiriki katika kujengea kisima cha maji ya kunywa ili yawe ktk hali safi na salama na kesho Alhamis kuu nitakutana na viongozi wa dini za kikristu na Ijumaa na viongozi wa dini ya kiislam ili kuzungumzia ktk kukomesha mauaji ya Albino.