kazi kwa form 4 leaver inapatikana??

kazi kwa form 4 leaver inapatikana??

mbugabire

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2012
Posts
261
Reaction score
87
wanajamii leo naombeni msaada wenu kwa kunielezeni job opportunities kwa form 4 leaver!
I need your help guys!
 
kama upo apa Arusha tafuta kazi za kwenda porini na watalii au kama una nguvu kiasi panda mlima meru itaweza kwa kuanzia ila kilimanjaro usijaribu
 
nipo arusha mkuu,embu naomba uniambie naanzia wapi?
 
Naarero? Umfokisha?
Sasa arifu si uteremke mbuguni hapo chaaap, unarudi na mawe rundo?
 
Maisha magumu ndugu tusubiri yesu atakapo rudi labda nac tutapata
 
f 4 unatafuta kazi........... anyway kila mtu ana nyota na bahati yake
 
Nakushauri kazi zipo tena nyingi tu ila usichague,,nafasi za kazi katika makampuni ya usafi wa maofisini,mabarabarani na kuzibua vyoo,car washes, kukata nyasi,kulisha ng'ombe,muhudumu wa mabaa n.k
 
Back
Top Bottom