Kwa mara nyingine tena natangaza nafasi za kazi, nawashukuru mliojitokeza tuliofikia muhafaka tayari tupo kazini,na wengine nawakaribisha zaid kwenye hii biashara ya mtandao. au ni pm namba yako ntakutafuta watsapp. karibuni!
nawashukuru mliojitokeza tuliofikia muhafaka tayari tupo kazini,na wengine nawakaribisha zaid kwenye hii biashara ya mtandao. au ni pm namba yako ntakutafuta watsapp. karibuni!
Hivi hii forever living ina faida gani,napataje faida,na wateja(mtandao) naupataje...bse nawaona wengi wanafanya lakini hali zao ni duni mno...tafadhali nielimishe kwa hili.
Kuna mtu kanipigia simu, kaongea sana, kama dk 10, kumbe ananialika ktk Network marketing - 4ever living products! Nikamshukuru, nikamwambia kama akiskia kuna sehemu shamba linauzwa anambie!
Kuna mtu kanipigia simu, kaongea sana, kama dk 10, kumbe ananialika ktk Network marketing - 4ever living products! Nikamshukuru, nikamwambia kama akiskia kuna sehemu shamba linauzwa anambie!
GNLD pia ilijaribu hivo...hizi kazi huwa hazipo realistic.hata remuneration zao.eti unakua director baada ya miezi sita.bora hizo hela zako utafute mtu muanzishe mradi hata ni mdogo.work hard but also work smart..