Kazi kwa biashara za mitandao

Kazi kwa biashara za mitandao

Fay Mastories

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
49
Reaction score
3
Habari!

Kwa mara nyingine tena natangaza nafasi za kazi, nawashukuru mliojitokeza tuliofikia muhafaka tayari tupo kazini,na wengine nawakaribisha zaid kwenye hii biashara ya mtandao. au ni pm namba yako ntakutafuta watsapp. karibuni!

Sms zitajibiwa! +255719383663.
 
habari!

kwa mara nyingine tena natangaza nafasi za kazi!!

nawashukuru mliojitokeza tuliofikia muhafaka tayari tupo kazini,na wengine nawakaribisha zaid kwenye hii biashara ya mtandao. au ni pm namba yako ntakutafuta watsapp. karibuni!

sms zitajibiwa! +255719383663.
Mmmh hii imekaaje?
 
hii imekaaje? Fafanua pliiz. Au ndio zile kazi unaipata unaambiwa utoe laki 3. Ptuuuu
 
Hivi hii forever living ina faida gani,napataje faida,na wateja(mtandao) naupataje...bse nawaona wengi wanafanya lakini hali zao ni duni mno...tafadhali nielimishe kwa hili.
 
Network Marketing.. by Forever Living Products.

Kuna mtu kanipigia simu, kaongea sana, kama dk 10, kumbe ananialika ktk Network marketing - 4ever living products! Nikamshukuru, nikamwambia kama akiskia kuna sehemu shamba linauzwa anambie!
 
Kuna mtu kanipigia simu, kaongea sana, kama dk 10, kumbe ananialika ktk Network marketing - 4ever living products! Nikamshukuru, nikamwambia kama akiskia kuna sehemu shamba linauzwa anambie!

haha..
 
GNLD pia ilijaribu hivo...hizi kazi huwa hazipo realistic.hata remuneration zao.eti unakua director baada ya miezi sita.bora hizo hela zako utafute mtu muanzishe mradi hata ni mdogo.work hard but also work smart..
 
Back
Top Bottom