Kazi kibao wizara ya afya

Kazi kibao wizara ya afya

MITOCHONDRIA

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
147
Reaction score
34
Wadau leo nimesikia kwenye kipindi cha magazeti kuna kazi kibao wizara ya afya . Ila wesite yao haionyeshi chochote , hebu mwenye infor atujuze plz
 
Hizo ni siasa tu kaka
Waziri alikuwa anajibu swali bungeni tu kaka ni porojo tu pale hamna kitu wewe tafuta chuo ukafundishe sio lazima upractice mdcn kaka unachezea bongo..liwalo na liwe kaka
 
hizo ni siasa tu kaka
waziri alikuwa anajibu swali bungeni tu kaka ni porojo tu pale hamna kitu wewe tafuta chuo ukafundishe sio lazima upractice mdcn kaka unachezea bongo..liwalo na liwe kaka
yani wewe haunazo kabisa ndio nini umeandika hapa?????????
 
Kwa sababu haikuhusu ndo mana huelewi....
Endelea na shughuli za kujenga taifa kaka badala ya kuuliza vtu ambavyo hata havikuhusu....
 
Wanasiasa Walaaniwe tu, hawana msaada wowote na maisha yetu. fyuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom