John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Ukichelewa imekula kwakoView attachment 90362
Ukichelewa imekula kwakoView attachment 90362
Kuweni macho sana na hili Tangazo, ni la utapeli mimi nilishajaribu kuwasiliana na wahusika wakadai kuwa hawalitambui na tayari lilisharipotiwa polisi. Hawa jamaa wanadai eti utangulize laki tatu kwenye namba hizo. Maisha haya mbona kitanuka!! Kila mtu anaamka na mbinu yake.
Ni tahadhari tu.