Kazi Kazi Kazi

Kazi Kazi Kazi

Nyie ni kama wale XXmarketing, hamna kitu mnatesa vijana tu, wakuu kazi zenyewe ni za kutembea juani kuuza bidhaa zao, iko poa kama mtaipenda, nakumbuka nlipotoka chuon nliwahi kufika pale ila nkashindwana nao

Hapana si kweli, hatafutwi salesman hapa, soma tena post namba moja.

Anaetafutwa ni mtu mmoja tu.
 
mbona kama forever living?

Hapana, mimi ni individual mwenye shughuli zangu nyingi na ninatafuta personal assistant ataeweza ku manage kazi zangu za hapa na pale.

Soma tena post ya mwanzo.
 
daaaa wakuu Kaz kwel Kaz lkn Abdul mi najua ku2mia iyo Mc word excel pia na installation ya software naweza na najiamin na mchangamfu 0713844841 km utaona nakufaa nichek na pia najua na mafund weng km wa magar na wauza spea za magar, mafund wa majumba wa rang za nyumba na rang za spray furniture sina meng ahsant
 
Last edited by a moderator:
Mzee Abdul,likitokea shavu la kuwa PA wa FaizaFoxy usilitangaze,niPM tu kimyakimya!
Halafu na wewe fungua account yako bhana,ina mana utakuwa unasoma hadi PM za Aunt Zai?
Hahahahahahaha..
 
dogo acha kulala,kamata fursa twenzetu!
Si ushapewa namba,mpigie ule maisha!!
 
Last edited by a moderator:
Mzee Abdul,likitokea shavu la kuwa PA wa FaizaFoxy usilitangaze,niPM tu kimyakimya!
Halafu na wewe fungua account yako bhana,ina mana utakuwa unasoma hadi PM za Aunt Zai?
Hahahahahahaha..

Aunt Zainab ndiyo PA wangu kwa sasa anasafiri karibu ndio maana natafuta mtu wa kum replace.
 
hizo ajira ni za usalama wataifa kimasiala tu mtu kala shsvu
 
Wale wote waliopiga simu ambao hawajajibiwa, msiwe na wasiwasi nitawapigia. Waliotuma whatsapp na sms nao pia nitawajibu na waliotuma cv kwa email pia nitawajibu.

Email address yangu ni abdulghafurtz@gmail.com
 
nahisi, kama magumashi hapa , ngoja niendelee kuchunga n`gombe porini tu,

Hatuna sababu za kuwa "magumashi".

Ninakutakia uchungaji mwema ni kazi nzuri sana hiyo, mitume wote walikuwa wachungaji.
 
Napenda kuwajulisha wale wote waliotutumia CV zao tunaendelea kuzipitia na kuna ambao tutawaita tujadiliane ana kwa ana.

Katika majadiliano mambo ambayo utatakiwa ufanye, licha ya kuulizwa maswali mawili matatu ya papo kwa papo kwa English na Kiswahili ni kuandika barua tatu fupi tofauti kwa English:

Moja inajibu barua ambayo tumeletewa.

Moja ya kuomba bei ya bidhaa nje ya Tanzania.

Moja ya kutaka upatiwe ufanunuzi wa bidhaa na matumizi yake na kuomba punguzo la bei.

Kila mmoja ataitwa pekee, tutajitahidi kila njia waombaji wasikutane hapa kwetu.

Tunawajulisha hayo ili yule anaejiona hawezi asipoteze muda wake na wetu.

Ujumbe huu tunawatumia pia wote waliotutumia email.

Asanteni sana kwa mwitikio.
 
Back
Top Bottom