Kazi katika hotel ya kimarekani

wakuu mbona mi sielewi kitu hapa!kuna tatizo gani?tufahamishwe tusijeingia choo cha jinsi(jinsia) tofauti hapa
 
saaafi saana maana jamaa amekula za uso mpaka katokomea.

Nani k.o.jo.a hii Nyang'au ?
 

Hii ni franchise, mdosi anabana sana matumizi ili aweze kulipia jina la Subway na abaki na faida!!! Sijui kama ingekuwa ni ww ungefanyaje? Wafanya biashara wengi hapa nchini wanawapunja na kuwabana sana wafanyakazi wao ili wao wabakie na faida kubwa
 
kazi ipo.............. watanzania tunanyonywa sana
 
Uko na matatizo wewe!!!!.toka kwa hii thread na ujifunze kuheshimu binadamu.
wewe braza ndio unamatatizo we hapa Jf Wanakuja watu intellectual kutafuta kazi sasa unapoweka tangazo weka kama mtu unaejielewa sio kazi kama unatafuta vibarua wa kubeba zege kwenye site yako unayojenga hebu kua serious kidogo thats why watu wanakukebehi cos hilo sio tangazo la kazi halikizi hata minimum vigezo vya tangazo la kazi, please hebu weka tangazo ambalo kidogo linajielewa.na linajielewa vizuri watu watakuelewa na watakushukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…