Kazi jamani kazi...

Ok. Tafadhali tuma CV yako kwenye bly.wdo@gmail.com hii ni email ya ofisi
 
Umesoma kozi gani na umemaliza mwaka gani ili watu wajue jinsi ya kukusaidia
 
Pole. Una taaluma gani????
Maana Mungu akijali hivi karibuni natarajia kufungua NGOinayohusiana na VIJANA NA wanawake (Bright-Light Youth & Women Development Organization- BLY&WDO) Hivyo una taaluma gani???

nimeku-PM,kuna michakato nataka tusaidiane
 
Dah, hivi huyu jamaa yupo wapi? hata kwenye jumba la "watungaji/waandshi wa kitabu kipya" simuoni au kumsikia, yupo kweli?
Aha kama kiingilishi cha mulogo.
 
jamani niliwaomba wana jf mnisaidie kazi.bt taph,makandomende na wengneo mkanipa moyo wa kunisaidia.sasa mbona mmenyamaza tena jamani?...nna hali ngum mwenzenu!
 
jamani niliwaomba wana jf mnisaidie kazi.bt taph,makandomende na wengneo mkanipa moyo wa kunisaidia.sasa mbona mmenyamaza tena jamani?...nna hali ngum mwenzenu!

Nimekukubali, ufuatiliaji na lenyewe ni suala la muhimu katika kazi, walioahidi wote ungekuwa unawaPM unaongea nao huko huenda mkabadilishana mawili atatu, ni ngumu mtu kufuatilia uzi, labda uwe unamquote na kutaja ili aone kwenye notification. Kila la heri dada.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…