Kazi jamani kazi...

Kazi jamani kazi...

love peace

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
130
Reaction score
37
Jaman member wa JF,maisha yamekuwa magumu sana kwangu.

Naomba hata mwenye kuniajiri hata kuuza duka,kuuza restaurant ,

Kazi yoyote halali niko tayar kufanya jaman.

Naomba msaada wenu wapendwa.
 
Wewe me au ke?

Kama me nakushauri usikate tamaa mapema, kwanza jaribu kufanya hata biashara ndogondogo(uchuuzi) huku ukiwa unajiandaa kupata kazi unayotaka

Jitahidi sana usiwe mtu wa kukata tamaa, pigana hadi dakika ya mwisho

Mambo yataeleweka jiamini
 
kama ni jinsia ke!.. kazi lazima upate yaani utapata kazi nzuri ufurah na roho yako....we nenda katrge PM!
 
Wewe me au ke?

Kama me nakushauri usikate tamaa mapema, kwanza jaribu kufanya hata biashara ndogondogo(uchuuzi) huku ukiwa unajiandaa kupata kazi unayotaka

Jitahidi sana usiwe mtu wa kukata tamaa, pigana hadi dakika ya mwisho

Mambo yataeleweka jiamini

mi ni ke jaman.
 
mi ni ke jaman.
Jaribu kwa watu wa karibu na wewe kukuunganisha na kazi, sijui wewe una ujuzi/ulisomea nini

Nakuomba hapa JF fanya sehemu ya mwisho sana

Sababu huwezi jua labda kwa mfano wewe upo sehemu/mkoa fulani na mwana/wana JF wapo tofauti/mbali na ulipo

Huoni hiyo itakuwa ngumu sana?

Lakini huwezi jua unaweza ukakutana na mwanaJF hapa mkaenda huko PM pengine akajua msaidiane vipi

Kila la heri
 
Halafu kama niko sawa hapa JF kuna jukwaa linahusiana na hayo mambo hebu tembelea huko pia unaweza pata msaada zaidi

Na vile vile jitahidi kutafuta kazi pia kwa njia ya online inaweza kukusaidia pia

Kila la heri
 
Pole. Una taaluma gani????
Maana Mungu akijali hivi karibuni natarajia kufungua NGOinayohusiana na VIJANA NA wanawake (Bright-Light Youth & Women Development Organization- BLY&WDO) Hivyo una taaluma gani???
 
bachelor degree in public administration
 
Pole. Una taaluma gani????
Maana Mungu akijali hivi karibuni natarajia kufungua NGOinayohusiana na VIJANA NA wanawake (Bright-Light Youth & Women Development Organization- BLY&WDO) Hivyo una taaluma gani???

mkuu ukianzisha hiyo NGO nipe fursa tafadhali,niko na changamoto kama ya Muanzisha mada,B.A Public Admin,zero experience!
 
Eeeh, na mm nina masters in Public Administration. Ila nimeamua kufundisha adults, Mungu anasaidia angalau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom