Kazi ipo!!

Nabaki bongo, vitu vya hapa ni vya kiasili, natural na havina vichochezi aina yoyote.

Kuku wa kienyeji for life
 
mh ..kuna vituko duniani .
ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??
 
mh ..kuna vituko duniani .
ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??


malezi mabovu... hawa watoto hawapati muda wa kuspend na wazazi na muda mwingi wanaangalia tv, wanapitia site ajabu online....

Matokeo... i think am a girl.... baade ukitaka kuwa dume inakuwaje?

Bongo wazo letu moja tu... i think am gonna be super duper rich...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…