Kazi ipo!!

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
408
Likes
3
Points
35

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2009
408 3 35
mh ..kuna vituko duniani .
ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??

malezi mabovu... hawa watoto hawapati muda wa kuspend na wazazi na muda mwingi wanaangalia tv, wanapitia site ajabu online....

Matokeo... i think am a girl.... baade ukitaka kuwa dume inakuwaje?

Bongo wazo letu moja tu... i think am gonna be super duper rich...
 

Forum statistics

Threads 1,190,287
Members 451,082
Posts 27,666,623