Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Jul 26, 2011 #21 poleni wahanga
Sooth JF-Expert Member Joined Apr 27, 2009 Posts 3,922 Reaction score 5,628 Jul 27, 2011 #22 ...too sensitive and over-reactive.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,575 Jul 27, 2011 #23 ALLEX said: jamani tatizo nini mbona mnakuwa wakali namna hiyo... Nilijuwa mngesema mchina kafanya kazi yake.. Click to expand... unataka watu wawaze kama unavyotaka? Halafu sio kila unachoweka kwa mzaha wengine watachukulia kwa mzaha, mchina mchina kukariri kumezidi
ALLEX said: jamani tatizo nini mbona mnakuwa wakali namna hiyo... Nilijuwa mngesema mchina kafanya kazi yake.. Click to expand... unataka watu wawaze kama unavyotaka? Halafu sio kila unachoweka kwa mzaha wengine watachukulia kwa mzaha, mchina mchina kukariri kumezidi
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Jul 27, 2011 #24 Preta said: wanaume mnapenda kutukebehi sana eeeh........? Click to expand... Pole 😛ound:
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jul 27, 2011 #25 allex said: bahati mbaya niliokotwa sina baba naomba nije kwenu tupate hizo za baba yako... Click to expand... hakuna ubishi, kwa jinsi unavyoandika kweli wewe uliokotwa! Nawahurumia wazazi wako kwa unavyowakosea adabu!
allex said: bahati mbaya niliokotwa sina baba naomba nije kwenu tupate hizo za baba yako... Click to expand... hakuna ubishi, kwa jinsi unavyoandika kweli wewe uliokotwa! Nawahurumia wazazi wako kwa unavyowakosea adabu!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jul 27, 2011 #26 Kimbweka said: Pole 😛ound: Click to expand... asante......