kazi ipo humu ndani!!!

hahahaa! sasa hii ni ofisi au ni eneo la practical training?

mwanamke huyu nae si alete hata makopo tu acheze cheze hapo?
 
Ukitembea na mwizi .........nae aendelee hivyo hivyo kuwa karibu yake mwisho wa siku nae atakuwa....
 
Hapo mwanamke akichepuka anaanza kulialia!!

hahahaa! Sasa hii ni ofisi au ni eneo la practical training?

Mwanamke huyu nae si alete hata makopo tu acheze cheze hapo?
 
ukitembea na mwizi .........nae aendelee hivyo hivyo kuwa karibu yake mwisho wa siku nae atakuwa....

hahahahaha!!!

Mwanamke anamkadilia.....na jamaa amecool kinoma na pc yake kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…