Kazi imekwisha!

Sio kwamba mambo ya jolly club pale nje yapo na huko 'bush'?
 
Kinachoendelea hapo ni sound! Alimuahidi hela ya kusuka huku akijua kabisa kuwa mfukoni hana hata mia!! Hapo anamwambia wakutane tena jioni hapo hapo atakuwa keshafanya mafekeche flani ya ngawira hivyo atampatia jioni hiyo! Unajua nini kitaendelea hiyo jioni mahali hapo? Endelea kufuatilia hapa hapa!
 
Ukute ndo demu wako sasa....
 
Daah majani kisogoni na kwenye Ma -taqior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…