Kazi imekwisha!

Kazi imekwisha!

Hahaha
Kinachoendelea hapo ni sound! Alimuahidi hela ya kusuka huku akijua kabisa kuwa mfukoni hana hata mia!! Hapo anamwambia wakutane tena jioni hapo hapo atakuwa keshafanya mafekeche flani ya ngawira hivyo atampatia jioni hiyo! Unajua nini kitaendelea hiyo jioni mahali hapo? Endelea kufuatilia hapa hapa!
 
Back
Top Bottom