Kazi Idara ya Uhamiaji

Kazi Idara ya Uhamiaji

CAY

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
505
Reaction score
105
IDARA-YA-UHAMIAJI.jpg
Bandugu tujaribu na hizi.
 
Hapo ni kutupia tu hata kama una Bachelor we peleka ya form six kwanza mengine baadaye!
 
SENKI YU SO MACHI!
Ninaomba hivo hivo though nime-over qualify!
 
Weken hilo tangazo vzr ili kila m2 alione.
 
Naomba Mungu nipate kazi hapa wacha ni2me mapema
 
Hapo ni kutupia tu hata kama una Bachelor we peleka ya form six kwanza mengine baadaye!

itakuwaje baadae...yani kuhusu bachelor?...ni baada ya mda gani utatumia cheti cha degree? vp mshaara wa 4m 6 na degree umetofautiana vipi?
 
wakuu tangazo cm yng imeshndwa kudanlod plz naombn mnidokeze nafac2 npo bush sana ila makopi ya vyet yapo tatuma plz
 
Back
Top Bottom