Kazi exec oil and gas comopany juba

Kazi exec oil and gas comopany juba

Joined
Apr 1, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Jamani watafuta ajira wenzenu nimebaini kuwa hawa jamaa matapeli kwani hata kwenye website hawapo hakuna namba ya simu then inabidi tumuuuliza jamaa aliyetuletea tangazo hili kalitoa wapi kwan hakuna kampuni kama hili huko sudani na wanataka hela kama work permit $ 45 nahic kuna mmoja wetu wa jamvi hili atakuwa anajuana na watu hawa na si vingnedvyo naomba ndugu zangu tusidanganyike kabisa
 
Kweli hata mm wamenitumia hiyo sms wakihitaji hiyo DOLLAR 45 kwa ajiri ya permit.Kwa kweli wanaoneka ni matapeli tu
 
HAWA SIO MATAPELI TU ILA NI WAPUMBAVU KABISA AMBAO HAWAJUI HATA KUTAPELI,angalia upumbazo wao
1/wanakupa personal acount ya kibongo..
2/account yao iko NBC
3/Wanasema mtu wao anaprocess working permit hapa hapa UBALOZI WA SOUTH SUDAN? hivi kuna ubalozi wa South Sudan Tanzania?
nb..check email yao walivyonielekeza jinsi ya kutuma

Greetings,

You are also required to send the Workpermit processing fee of $45 as told earlier,in order for Management to receive the processing fee ontime and avoiding charges please exchange $45 to Tanzanian Shillings which is equivalent to Tsh.74,000/- or to any of your local currency and deposit to the following account of our fellow employee appointed by Management for processing your Workpermit through South Sudan immigration,he holds Mastercard account of the National Bank Of Commerce of Tanzania.
Please Scan and Forward the bank payslip/deposit slip after you have deposited the required Workpermit processing fee Tsh.74,000/-

Bank Name:National Bank of Commerce
Account No: 022201229134
Account Name:Jacob E. Kiangi

Regards
Paul Kasanga
Human Resource Management
Execs Oil & Gas Company Ltd
Juba,South Sudan.o walivyonielekeza jinsi ya kutuma hela

MY TAKE..MUAZISHA UZI NDIO TAPELI MWENYEWE,MAANA ALIPOTOA ILE EMAIL NA KUULIZWA WAPI SOURCE YA HIYO EMAIL HAKUJIBU CHOCHOTE
 
Greetings,

We are processing your application,please forward to us your passport copy or any of your valid Identity card as soon as possible for workpermit processing,the Company will process your workpermit on behalf.
You are also required to send the Workpermit processing fee of $45 as told before,the Workpermit process will take 3 working days and from there the Company will send to you Workpermit and Airticket(Kenyan Airways) ready for you to be here for work.
We expect you to start job on Tuesday,April 23,2013.

If you have anything please don't hestitate to ask.

Regards
Paul Kasanga
Human Resource Department
Execs Oil & Gas Company
Juba,South Sudan.
hiki ndo nilichotumiwa na hao matapeli, halafu hilo jina la paul kasanga si mara yangu ya kwanza kulisikia nahisi nilishawahi kuliona kwenye utapeli mwingine, inaonekana huyu ni tapeli mkubwa hapa mjini? ashindwe na alegee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 
greetings,

we are processing your application,please forward to us your passport copy or any of your valid identity card as soon as possible for workpermit processing,the company will process your workpermit on behalf.
You are also required to send the workpermit processing fee of $45 as told before,the workpermit process will take 3 working days and from there the company will send to you workpermit and airticket(kenyan airways) ready for you to be here for work.
We expect you to start job on tuesday,april 23,2013.

If you have anything please don't hestitate to ask.

Regards
paul kasanga
human resource department
execs oil & gas company
juba,south sudan.
Hiki ndo nilichotumiwa na hao matapeli, halafu hilo jina la paul kasanga si mara yangu ya kwanza kulisikia nahisi nilishawahi kuliona kwenye utapeli mwingine, inaonekana huyu ni tapeli mkubwa hapa mjini? Ashindwe na alegee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mnyamwezi wa sikonge huyo kazi kwenu
 
Back
Top Bottom