Kazi Baada ya Shule

Frank nzoka

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
30
Reaction score
8
habari. mim ni final year natarajia kuwa mtaani next month so kwa course niliyosoma ya computer science ningependa sana kuwa mwalimu wa hii fan. so kwa yeyote au anafahamu kuna Institute,college au hata center nzuri inatoa course za computer science na wanahitaji mkufunzi ni vizuri ukaniconsult. thanx
 
Unataka hapo center?
Mbona utasubiri sana?
 
Rafiki yangu ajira zimekuwa ni ngumu sana, wengi tumesoma hzo kozi na bado tupo mtaani na experience za kujitolea juu, nadhani ungekuwa pia na fikra za kujiajira mfano unaweza kufungua computer training centre kama una mtaji wa kununua pc's,. Sikukatish tamaa ktk kufikia malengo yako ila nakupa tu angalizo
 
i like ur idea but as capital always ndo kikwazo sidhan kwa hali ya sasa ilivyo kama ningekuwa na capital nikawaza kutafuta kazi badala yake ningekuwa nawaza kufungua mishe zangu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…