Kawaje wa Jalalani?

hakuna adhabu nzito na kubwa kwa mtu mwenye akili timamu kama KUISHI MAISHA ya UCHAWA ya kujitoa akili/kujizima data ,kujitoa ufahamu na kuamua kuishi kwa kushikiwa akili .


yani prof kuwa=lucas mwashambwa

si unaona hata paskali anavyopata tabu kudumu katika SCRIPT kujitoa akili kuwa chawa...kuna wakati akili inagoma anakuwa paskali kuna wakati tena paskali anakuwa lucas mwashmbwa..
 
Uko sahihi mno. Ila tatizo la Tanzania sasa hivi ni kwamba uchawa wa kujitoa akili kwa sababu ya maslahi binafsi imekuwa kama norm, na watu hawaoni tena aibu kwa jamii. Na jamiini kama imefika mahali ikazoea hii hali. Hii ni hatari sana sana na madhara yake kwa kizazi kijacho yatakuwa makubwa sana.
 
We ndiyo unaona adhabu wenzio fresh tu aisee acha kuwapangia watu maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…