Kavukavu soksi pembeni

Kavukavu soksi pembeni

Kuna demu roho inaniuma mpaka kesho. Alikuwa anakimbiza mtaa mzima kwa uzuri. Alinishobokea mpka akawa ananiambia direct. Mzee sikupiga kwa kuwa mtaani alikuwa na kashfa ameungua. Na nikamchana live kwamba wewe NI tank la mafuta lenye betri inayotoa cheche unalipuka mda wowote, akalia kinoma.

Mazee nimekutana naye mwaka juzi after 11 yrs yupo na two health twins na hub wake. Then akaning'oneza wangekuwa wakwako Hawa. Dah kidogo nilie. Alafu ndo amezidi kunona daddeki
Manina.


[emoji23][emoji23]
 
Kakubali kwenda kupima but anataka nmwambie ni nani aliyeniambia km yy kaungua, mambo y kusutana sas hay
Kwani si kawaida tu, na mtu hutakiwi kumwambia hivyo makavu makavu nikama kumnyanyapaa, unamwambia tu tukacheki afya zetu kisha maisha yaendelee
 
Unaogopa UKIMWI au kifo. Mara ya mwisho kutmia kondomu ni 1997 na kila.nikipima niko poa tu negative. Endeleenii kujitesa. Ukimwi una wenyewe kama kule ROLI la mafuta.
 
NA UMALAYA WANGU WOOTE LAKINI SIWEZI UZA MECHI,

HIVI UNATOMBAJE KAVU HII CENTURY YA 21,,
Demu unamkuta ana tako hapa na burundi,
Ana rangi saaaafi mweupeee peeee,
Ameenda hewani *****,

Mzee baba eti huyu atakuwa hana ngoma nani kasema...
“Unapima homa kwa kiganja cha mkono”

MABAHARIA..
“Tufanye umalaya lakini tutumie kinga”
 
Ishanikuta hiyo ila baada ya kupima nikakuta niko safi.
 
Pale Midland moro sitasahau ilikuwa mwaka 2015 nilichukua mwanamke downtown shombe hivi wakiarabu sasa asubuhi natoka naelekea stendi tax driver si akamuona akanimbia braza huyu mwanamke ataua wengi hapa morogoro ilibidi nijikaze kiume tu asijue kuwa nilikua nae.lakini nashukuru afya yangu njema mpaka leo sitaki kuzoazoa mtu unamuona mzuri nje kumbe ndani kaungua.
 
Back
Top Bottom