Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,262
- 4,052
Hayo mambo huku kwetu tushayazoea. Tunachokifanya ni kujifariji na kampeni za dispetion
Yataka moyoAmani ya moyo utaipata tu pale utakapotoka hospitali ukiwa na majibu yako. Yawe mazuri au mabaya, cha msingi ni kujua kuishi na majibu yako. Ukiliweza hilo utakuwa umerudisha amani ya moyo.
Amani ya moyo utaipata tu pale utakapotoka hospitali ukiwa na majibu yako. Yawe mazuri au mabaya, cha msingi ni kujua kuishi na majibu yako. Ukiliweza hilo utakuwa umerudisha amani ya moyo.
Tena ukute ulikua unapiga ndo anaingia bleed ukitoa kichwa kimejaa damu nyekunduuu. Hapo hata upishi wa kwamba labda damu yake na yako hazikugusana hakuna. Huitaji kipimo hata.Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan na kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
Pole kwa yaliokukuta tuliza pressure hayo ndiyo marupurupu ya uzinzi ukute hapo unamke nyumbaniHabari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan na kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
Kuna demu roho inaniuma mpaka kesho. Alikuwa anakimbiza mtaa mzima kwa uzuri. Alinishobokea mpka akawa ananiambia direct. Mzee sikupiga kwa kuwa mtaani alikuwa na kashfa ameungua. Na nikamchana live kwamba wewe NI tank la mafuta lenye betri inayotoa cheche unalipuka mda wowote, akalia kinoma.
Mazee nimekutana naye mwaka juzi after 11 yrs yupo na two health twins na hub wake. Then akaning'oneza wangekuwa wakwako Hawa. Dah kidogo nilie. Alafu ndo amezidi kunona daddeki
POLE MKUUCkia tu omba yasikukute broh
Tena ukute ulikua unapiga ndo anaingia bleed ukitoa kichwa kimejaa damu nyekunduuu. Hapo hata upishi wa kwamba labda damu yake na yako hazikugusana hakuna. Huitaji kipimo hata.
Kwel mkuu kifo hakikwepekiUsiogope kijana! Kufa kupo tu. Unaweza usife kwa ngoma ukaja kufa kama wale ndugu zetu wa Moro.
Kakubali kwenda kupima but anataka nmwambie ni nani aliyeniambia km yy kaungua, mambo y kusutana sas hayUmeambiwa badala ungemwambia twende tukapime si ajabu hao aliwakataa wanyoosha vidole wao ndiyo huanza kufa
Mkuu alikuwa mwarabuDaaaa hii kavu niliwahi jilipua huko Bukene-Tabora aiseee Yani simjui hanijui lakini tulikula KAVUUUU,Haki ya Nani sitakuja rudia ule mchezo
Ninao,ninao,ninaooo!!kilichobaki nikujikubali.Isitoshe virusi havitaweza kamwe kuharibu rekodi nzuri niliyoiweka, badala yake vitaiimarisha nikimchukua mrembo jumla.Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na mtoto mkali tena zaidi ya mara mbili umembidua vya kutosha, mikunjo kam boyka yan umekita co shoo ya kitoto, alafu baad y kam wik hv unackia mtaan no kwa washkaj kua uyo manzi kaungua yaan anamiwaya
Alafu ulpata bila soksi
Broh utafanya nn urudishe aman y moyo...??
mkuu unamaana kinachotumaliza ni hofu si ugonjwa!!?UKIMWI = Upungufu wa Kinga Mwilini.
Ukisikia yeye kaungua, ndio unapungukiwa kinga mwilini hapo hapo?
Ndio kusema lilikua tank la lotion hukujua tu, Mkuu!?Kuna demu roho inaniuma mpaka kesho. Alikuwa anakimbiza mtaa mzima kwa uzuri. Alinishobokea mpka akawa ananiambia direct. Mzee sikupiga kwa kuwa mtaani alikuwa na kashfa ameungua. Na nikamchana live kwamba wewe NI tank la mafuta lenye betri inayotoa cheche unalipuka mda wowote, akalia kinoma.
Mazee nimekutana naye mwaka juzi after 11 yrs yupo na two health twins na hub wake. Then akaning'oneza wangekuwa wakwako Hawa. Dah kidogo nilie. Alafu ndo amezidi kunona daddeki
Siku unayotembea uchi ndio siku hiyo unayokutana na mkweo.Wengine washakuwa sugu. Hawatumii na hawatakuja kutumia.
Ila wee endelea tu kutumia. Mana siko utayosema ujaribu tu kavu ndio hapo hapo imoo.
Stress ni hatari sana zaidi ya UKIMWI.mkuu unamaana kinachotumaliza ni hofu si ugonjwa!!?
Hhaha inaumaga hiyo. Pole sana mkuuKuna demu roho inaniuma mpaka kesho. Alikuwa anakimbiza mtaa mzima kwa uzuri. Alinishobokea mpka akawa ananiambia direct. Mzee sikupiga kwa kuwa mtaani alikuwa na kashfa ameungua. Na nikamchana live kwamba wewe NI tank la mafuta lenye betri inayotoa cheche unalipuka mda wowote, akalia kinoma.
Mazee nimekutana naye mwaka juzi after 11 yrs yupo na two health twins na hub wake. Then akaning'oneza wangekuwa wakwako Hawa. Dah kidogo nilie. Alafu ndo amezidi kunona daddeki