Mapenzi Kudadenya
Member
- Apr 25, 2020
- 35
- 68
Naomba kuuliza wapi naweza kupata kava za kuvalishia godoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama 💔😂 nipo dar
Hili nalo ni la kuuliza? Hakuna mafundi cherehani hapo unapokaa?Naomba kuuliza wapi naweza kupata kava za kuvalishia godoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama 💔😂 nipo dar
Zinauzwa bei gani kiongoziIlala boma unapata kitu kipya utahama hata mchana
Jenga ili usihamehamegodoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama 💔😂 nipo dar