Kautafiti kadogo

Kautafiti kadogo

busara kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2019
Posts
239
Reaction score
109
Ndugu wanajf kama tulivyoona na kusikia maazimio ya bunge ya kutokufanya kazi na CAG kutokana na kilichodaiwa kulidhalilisha bunge kutokana na kauli yake kwamba bunge ni dhaifu je wewe kama mtanzania maazimio yaliyofikiwa na na bunge ni sahihi? Pili je kauli ya CAG ina ukweli? Kwa maoni yako weka herufi D, kama unakubaliana na kauli ya cag na weka herufi S, kama hauafikiani na kauli hiyo. Mtanisamehe kwa mwandiko mchafu maana ndo mara ya kwanza kupost thread hapa jf
 
Back
Top Bottom